Somo wa Viwawa-Upanga

Somo wa Viwawa-Upanga

Wednesday, March 16, 2011

MATENDO YA HURUMA

Viwawa Upanga tunategemea kufanya matendo ya huruma katika kipindi hiki cha Kwaresma siku ya tarehe 16/04/2011 katika kituo cha kulelea watoto yatima Msimbazi.
Vijana wote mnaalikwa kushiriki na kuja na matoleo yenu kwaajili ya mahitaji ya watoto hawa. Watoto wanao lelewa katika kituo hiki niwatoto wadogo sana na hivyo walipendekeza vitu vifuatavyo kama matoleo yetu kwa watoto wetu hawa;


1.Maziwa ya Unga
2.Nyama kwaajili ya kuwatengenezea Supu watoto hawa
3.Sabuni za aina zote
4.Matunda mbali mbali


Tafadhali Vijana wote tujitoe kwa moyo, Vitu hivi vitakusanywa na Viongozi wa kamati tendaji kushirikiana na viongozi wa kamati ndogondogo, Wasiliana nao ili kuwasilisha matoleo yako.
Asanteni....

Luke 6:38

Give, and it will be given to you. Good measure, pressed down, shaken together, running over, will be put into your lap. For with the measure you use it will be measured back to you.”

No comments:

Post a Comment