Viwawa Upanga, Nikikundi cha Vijana Wakatoliki wanaopata huduma za Kiroho katika Parokia ya Upanga iliyoko katika Jimbo Kuu la Dar es salaam Tanzania. Viwawa Upanga inajumla ya Kanda Nne; Kanda A, B ,C na D. kila kanda Imeundwa na Jumuiya ndogo ndogo Nne zilizo karibu karibu. Viwawa Upanga Tunatoa huduma ya Viti ambavyo hukodishwa kwa wanaparokia na Jimbo kwa bei nafuu ya Tsh 250/= kwa kiti.
Somo wa Viwawa-Upanga
Tuesday, March 15, 2011
Baba Paroko wa Parokia ya Upanga, Mwenyekiti Mstaafu wa Halmashauri ya baraza la walei Upanga, Mwenyekiti wa Kwaya ya Mt Bakhita na Mwenyekiti wa Baraza la Walei Upanga...siku ya sherehe ya kwaya hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment