Somo wa Viwawa-Upanga

Somo wa Viwawa-Upanga

Wednesday, March 16, 2011




Matukio mbalimbali katika Uchaguzi wa Viwawa Jimbo Kuu la Dar es Salaam mwaka jana 2010


1
Mwili haujengwi kwa matofali....
2
Naomba unitoe vizuri katika hii picha unayonipiga
3
Mmmh Papai hili jamani tamuu karibuni 
4
Jamani mada ya leo imenugusa saaaana Terence...
5
Hapo vipi mwanangu
6
Jamani msinionee gere mwezenu raha saana kulishwa
7
Mmmh sijui nitaweza kuimba vizuri leo
8
Wanaimba vizuri utazani wanatoka parokia moja! Viwawa tupo juu
9

10
Huyu mpiga picha mbona haji upande wangu kwa mtu mzima..
11
Jamani huyu Padri mahubiri yake nimeyapenda kwa kweli
12
Jamani kaeni vizuri tupige picha ya pamoja
13
Full shangwe
14
Hawa vijana wamechangamka mpaka raha
15
Jamani hata Kanisani raha zipooo
16
Pigeni makofi jamani
17
Hapa ni kucheza na kuimba kwa saaana
18

19

20
Jamani hizi style mie siziwezi nita aibika bure mwenyekiti mzima.
21
Doh1! nilikuwa nina njaaa jamani
22
Sijui chakula kitabaki maana naona kama sijashiba vileee
23
Ukiwa unakula hutakiwi kuongea bwana
24

Mimi na Upanga ni damu damu kwa kifupi ninawakubali kwa kazi zao za utume.

1 comment: