Viwawa Upanga, Nikikundi cha Vijana Wakatoliki wanaopata huduma za Kiroho katika Parokia ya Upanga iliyoko katika Jimbo Kuu la Dar es salaam Tanzania.
Viwawa Upanga inajumla ya Kanda Nne; Kanda A, B ,C na D. kila kanda Imeundwa na Jumuiya ndogo ndogo Nne zilizo karibu karibu.
Viwawa Upanga Tunatoa huduma ya Viti ambavyo hukodishwa kwa wanaparokia na Jimbo kwa bei nafuu ya Tsh 250/= kwa kiti.
Somo wa Viwawa-Upanga
Tuesday, March 15, 2011
Baadhi ya wanakwaya Kwaya ya Mt Bakhita wakiwa na Mwalimu Dunia siku ya sherehe ya Kwaya hiyo
No comments:
Post a Comment