Viwawa Upanga, Nikikundi cha Vijana Wakatoliki wanaopata huduma za Kiroho katika Parokia ya Upanga iliyoko katika Jimbo Kuu la Dar es salaam Tanzania. Viwawa Upanga inajumla ya Kanda Nne; Kanda A, B ,C na D. kila kanda Imeundwa na Jumuiya ndogo ndogo Nne zilizo karibu karibu. Viwawa Upanga Tunatoa huduma ya Viti ambavyo hukodishwa kwa wanaparokia na Jimbo kwa bei nafuu ya Tsh 250/= kwa kiti.
Somo wa Viwawa-Upanga
Tuesday, March 15, 2011
Kutoka Kushoto; Terence Vusile Silonda ( Mhazini msaidizi Viwawa Upanga na Muasisi Kanda B ), Elias Zikomo Mapunda ( Mwenyekiti Mstaafu Viwawa Taifa, Makamu Mwenyekiti Mstaafu Viwawa Jimbo na Upanga ), Peter Masatu ( Makamu Mwenyekiti Viwawa Upanga na Muasisi Kanda B)
Labels:
Viongozi Viwawa Upanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment