Igizo la Noeli Christmas Play Musical 2010. liliandaliwa na Viwawa Parokia ya Upanga na kushirikiana na Wadau wengine.
Tukisubiria kupanda jukwaani kwa kuigiza |
Kwaya nayo haikuwa nyuma
Mfalme Herode katika mshangao.
Baada ya kumaliza kuigiza.
Mnatuona jamaniii
Cheeeerzzzzzz!!
Tukitumiana na kupokea msg za kupongezana baada ya Igizo
Tukibadilishana mawazo na kukosoana pale tulipokosea wakati tunaigiza.
Kumbe tunaweza bwana.....
Baada ya kazi nzuri kufurahi muhimu.
Kazi imekwisha ngoja nisepe zangu fasta simsubiri mtu hapa.
Doh!! Baada ya kazi kubwa ya kuongoza na kuigiza hatimaye unakata KIU na COCA baridiii....
Kazi nzuri endeleeni kuiboresha zaidi! Safi
ReplyDelete