Viwawa Upanga, Nikikundi cha Vijana Wakatoliki wanaopata huduma za Kiroho katika Parokia ya Upanga iliyoko katika Jimbo Kuu la Dar es salaam Tanzania. Viwawa Upanga inajumla ya Kanda Nne; Kanda A, B ,C na D. kila kanda Imeundwa na Jumuiya ndogo ndogo Nne zilizo karibu karibu. Viwawa Upanga Tunatoa huduma ya Viti ambavyo hukodishwa kwa wanaparokia na Jimbo kwa bei nafuu ya Tsh 250/= kwa kiti.
Somo wa Viwawa-Upanga
Tuesday, March 22, 2011
HIJA BOKO
Viwawa Jimbo Kuu la Dar es salaam wameandaa Hija itakayo fanyika katika kituo cha Hija Boko siku ya Tarehe 26/03/2011 kuanzia saa mbili kamili asubuhi, Vijana wote tunaombwa kushiriki bila kukosa...Sisi Vijana wa Upanga tutaondoka kwa Usafiri wa Pamoja Parokiani Upanga saa Moja na nusu asubuhi, Tafadhali tuzingatie Muda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment