Viwawa Upanga, Nikikundi cha Vijana Wakatoliki wanaopata huduma za Kiroho katika Parokia ya Upanga iliyoko katika Jimbo Kuu la Dar es salaam Tanzania. Viwawa Upanga inajumla ya Kanda Nne; Kanda A, B ,C na D. kila kanda Imeundwa na Jumuiya ndogo ndogo Nne zilizo karibu karibu. Viwawa Upanga Tunatoa huduma ya Viti ambavyo hukodishwa kwa wanaparokia na Jimbo kwa bei nafuu ya Tsh 250/= kwa kiti.
Somo wa Viwawa-Upanga
Showing posts with label Aaron Gotfrid ( Mhazini Viwawa Upanga ). Show all posts
Showing posts with label Aaron Gotfrid ( Mhazini Viwawa Upanga ). Show all posts
Tuesday, March 15, 2011
Kwa Nyuma Ni Jengo ambapo zipo Ofisi za Viwawa Upanga , Wawata Upanga, Walei Upanga na Zahanati ya Parokia ya Upanga na Kwa juu ni sehemu ya Vyumba kwa ajili ya wageni mbali mbali wa Parokia na Jimbo.
Subscribe to:
Posts (Atom)